Skip to content
العَلَق /

Aya 19

96 : 19
العَلَق Aya 19
Sura · العَلَق
Kiswahili · Barawani
96 : 19

كَلَّا لَا تُطِعۡهُ وَٱسۡجُدۡۤ وَٱقۡتَرِب۩

Hasha! Usimt'ii! Nawe sujudu na ujongee!

Explanation & meanings · 1
  1. Kumnyamazisha huyu mwenye kuzuia, wewe usimkubalie kwa hayo anayo kukataza nayo, na dumu juu ya Swala zako, na endelea na sijida zako, na jijongeze kwa Mola wako Mlezi kwa hivyo.