96 : 18
سَنَدۡعُ ٱلزَّبَانِيَةَ
Nasi tutawaita Mazabania!
Explanation & meanings · 1
- Sisi tutawaita askari wetu wamsaidie Muhammad na walio pamoja naye, na wapambane na huyo mwenye kukanya na wasaidizi wawasukume kwenye Jahannamu!
Aya 18 of العَلَق (96 : 18). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.
سَنَدۡعُ ٱلزَّبَانِيَةَ
Nasi tutawaita Mazabania!