Skip to content
الشُّورى /

Aya 20

42 : 20

Aya 20 of الشُّورى (42 : 20). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الشُّورى Aya 53
Sura · الشُّورى
Kiswahili · Barawani
42 : 20

مَن كَانَ يُرِيدُ حَرۡثَ ٱلۡأٓخِرَةِ نَزِدۡ لَهُۥ فِي حَرۡثِهِۦۖ وَمَن كَانَ يُرِيدُ حَرۡثَ ٱلدُّنۡيَا نُؤۡتِهِۦ مِنۡهَا وَمَا لَهُۥ فِي ٱلۡأٓخِرَةِ مِن نَّصِيبٍ

Mwenye kutaka mavuno ya Akhera tutamzidishia katika mavuno yake, na mwenye kutaka mavuno ya duniani tutampa katika hayo, lakini katika Akhera hana fungu.

Explanation & meanings · 1
  1. Mwenye kutaka kulipwa kwa a'mali yake thawabu za Akhera atalipwa mara mbili ujira wake. Na mwenye kutaka kwa a'mali yake starehe ya dunia tu, basi tutampa fungu lake hilo, na huko Akhera hatakuwa na fungu lolote la thawabu.