Skip to content
Orodha ya Sura /

الإخلَاص

الإخلَاص is chapter 112 of the Quran and has 4 verses. This page presents it in full in the Uthmani script, with a verse-by-verse translation of its meaning.

4 Aya Sura Na. 112
Nenda kwenye aya
Kiswahili · Barawani
بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ

قُلۡ هُوَ ٱللَّهُ أَحَدٌ

Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.

Explanation & meanings · 1
  1. Ewe Muhammad! Hao wanao sema kwa kejeli, "Tusifie Mola wako Mlezi.": waambie: Yeye ni Mwenyezi Mungu wa pekee hapana mwenginewe, wala hana mshirika.

ٱللَّهُ ٱلصَّمَدُ

Mwenyezi Mungu Mkusudiwa.

Explanation & meanings · 1
  1. Mwenyezi Mungu Mwenye kukusudiwa peke yake katika haja zote, na yote yanayo takikana.

لَمۡ يَلِدۡ وَلَمۡ يُولَدۡ

Hakuzaa wala hakuzaliwa.

Explanation & meanings · 1
  1. Hana mtoto wala hakuzaliwa na baba wala mama,

وَلَمۡ يَكُن لَّهُۥ كُفُوًا أَحَدُۢ

Wala hana anaye fanana naye hata mmoja.

Explanation & meanings · 1
  1. Wala hana yeyote aliye mshabihi, au mfano wake.