Skip to content

السؤال

س١٢: ما هو الذكر بعد الفراغ من الوضوء؟

Swali: 12- Ni ipi dua baada ya kumaliza udhu?

الجواب

ج:«أشهد أن لا إله إلا الله وحده لا شريك له، وأشهد أن محمدًا عبده ورسوله»

رواه مسلم.

"Nina shuhudia kuwa hapana Mola anastahiki kuabudiwa kwa haki ila ni Mwenyezi Mungu peke yake hana mshirika, na nina shuhudia kuwa Muhammad ni mja wake na ni mtume wake".

Imepokelewa na Imamu Muslim