Skip to content

Swali: 21- Ukafiri unakuwa kwa kauli na matendo na itikadi, taja mfano wa hilo?

الباب / الفصل
قسم العقيدة

السؤال

Swali: 21- Ukafiri unakuwa kwa kauli na matendo na itikadi, taja mfano wa hilo?

س٢١: الكفر يكون بالقول والعمل والاعتقاد، مثل لذلك.

الجواب

Jawabu: Mfano wa kauli: Ni kumtukana Mwenyezi Mungu Mtukufu au Mtume wake Rehema na Amani ziwe juu yake.

Mfano wa matendo: Ni kuudhalilisha msahafu au kumsujudia asiyekuwa Mwenyezi Mungu Mtukufu.

Mfano wa itikadi: Ni kuitakidi kuwa kuna mwingine anayestahiki kuabudiwa asiyekuwa Mwenyezi Mungu Mtukufu au kuna muumbaji mwingine pamoja na Mwenyezi Mungu Mtukufu.

ج:مثال القول: سب الله سُبْحَانَهُ أو رسوله صلى الله عليه وسلم.

مثال العمل: إهانة المصحف أو السجود لغير الله تَعَالَى.

مثال الاعتقاد: الاعتقاد أن هناك من يستحق العبادة غير الله تَعَالَى، أو أن هناك خالقًا مع الله تَعَالَى.