Skip to content
الغاية من الحياة

الغاية من الحياة

Makusudio ya Maisha * (Kuwepo kwa Muumba) Mwanadamu anajiuliza katika safari yake ya kiakili kuhusu asili ya ulimwengu na muanzilishi wake: Ni nani aliyeumba mbingu na ardhi na vilivyomo ndani yake miongoni mwa viumbe? Ni namna gani inajipanga vizuri na kutulia Dunia hii kubwa, pamoja na kanuni zake zinazoipangilia mpangilio madhubuti kwa miaka yote? Je, ulimwengu huu ulijiumba wenyewe? Au ulizuka pasina kutokea mahali? Au umepatikana ghafla?

0%
Font size