Skip to content
الانشِقَاق /

Aya 19

84 : 19
الانشِقَاق Aya 25
Sura · الانشِقَاق
Kiswahili · Barawani
84 : 19

لَتَرۡكَبُنَّ طَبَقًا عَن طَبَقٖ

Lazima mtapanda t'abaka kwa t'abaka!

Explanation & meanings · 1
  1. Hapana shaka yoyote mtakutana na hali baada ya hali, baadhi yake zina shida zaidi kuliko nyenginezo, za kufa na kufufuliwa na vitisho vya Kiyama.