54 : 1
ٱقۡتَرَبَتِ ٱلسَّاعَةُ وَٱنشَقَّ ٱلۡقَمَرُ
Saa imekaribia, na mwezi umepasuka!
Explanation & meanings · 1
- Kiyama kimekaribia na mwezi utapasuka hapana hivi wala hivi.
ٱقۡتَرَبَتِ ٱلسَّاعَةُ وَٱنشَقَّ ٱلۡقَمَرُ
Saa imekaribia, na mwezi umepasuka!