Skip to content

السؤال

س٣٨: وما هو الدعاء بعد نزول المطر؟

Swali: 38- Ni ipi dua ya kusoma baada ya kunyesha mvua?

الجواب

ج:«مطرنا بفضل الله ورحمته»

البخاري ومسلم.

Jawabu: "Mutwirnaa bifadhli llaahi warahmatihi" Tumenyeshelezewa kwa fadhila za Mwenyezi Mungu na rehema zake.

Kaipokea Bukhari na Muslim.