95 : 3
وَهَٰذَا ٱلۡبَلَدِ ٱلۡأَمِينِ
Na kwa mji huu wenye amani!
Explanation & meanings · 1
- Na kwa huu mji mtukufu wa Makka, ambao anaushuhudia utukufu wake mwenye kwenda uzuru, na anapata amani mwenye kuuingia.
وَهَٰذَا ٱلۡبَلَدِ ٱلۡأَمِينِ
Na kwa mji huu wenye amani!