95 : 1 وَٱلتِّينِ وَٱلزَّيۡتُونِ Naapa kwa tini na zaituni! 1Hide explanation (1)Explanation & meanings · 11Naapa kwa tini na zaituni, kwa baraka zao na ubora wa manufaa yao.