Skip to content
التوبَة /

Aya 119

9 : 119
التوبَة Aya 129
Sura · التوبَة
Kiswahili · Barawani
9 : 119

يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ ٱتَّقُواْ ٱللَّهَ وَكُونُواْ مَعَ ٱلصَّٰدِقِينَ

Enyi mlio amini! Mcheni Mwenyezi Mungu, na kuweni pamoja na wakweli.

Explanation & meanings · 1
  1. Enyi mlio amini! Simameni imara baraabara juu ya uchamungu na Imani. Na kuweni pamoja na wale walio wakweli katika kauli yao na vitendo vyao.