Skip to content
المُطَففين /

Aya 33

83 : 33

Aya 33 of المُطَففين (83 : 33). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

المُطَففين Aya 36
Sura · المُطَففين
Kiswahili · Barawani
83 : 33

وَمَآ أُرۡسِلُواْ عَلَيۡهِمۡ حَٰفِظِينَ

Na wao hawakutumwa wawe walinzi juu yao.

Explanation & meanings · 1
  1. Wala hao wakosefu hawakutumwa wawe wa kuwahukumu Waumini kwa kuwaongoza au kuwapoteza, wala kuwa ni walinzi wa vitendo vyao.