Skip to content
المُطَففين /

Aya 32

83 : 32
المُطَففين Aya 36
Sura · المُطَففين
Kiswahili · Barawani
83 : 32

وَإِذَا رَأَوۡهُمۡ قَالُوٓاْ إِنَّ هَٰٓؤُلَآءِ لَضَآلُّونَ

Na wanapo waona husema: Hakika hawa ndio khasa walio potea.

Explanation & meanings · 1
  1. Na wakiwaona Waumini husema: Ama hakika hawa wamepotea kweli kwa kumuamini Muhammad.