Skip to content
سَبإ /

Aya 52

34 : 52

Aya 52 of سَبإ (34 : 52). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

سَبإ Aya 54
Sura · سَبإ
Kiswahili · Barawani
34 : 52

وَقَالُوٓاْ ءَامَنَّا بِهِۦ وَأَنَّىٰ لَهُمُ ٱلتَّنَاوُشُ مِن مَّكَانِۭ بَعِيدٖ

Na watasema: Tunaiamini! Lakini wataipata wapi kutoka huko mahala mbali?

Explanation & meanings · 1
  1. Na watasema, watapo iona adhabu: Tunaiamini Haki! Na vipi wao waipate Imani kwa wepesi huo kutoka pahala mbali na dunia ambayo wakati wake umekwisha pita?