Skip to content
العَلَق /

Aya 6

96 : 6

Aya 6 of العَلَق (96 : 6). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

العَلَق Aya 19
Sura · العَلَق
Kiswahili · Barawani
96 : 6

كَلَّآ إِنَّ ٱلۡإِنسَٰنَ لَيَطۡغَىٰٓ

Kwani! Hakika mtu bila ya shaka huwa jeuri.

Explanation & meanings · 1
  1. Ni hakika kweli mtu hupindukia mpaka na hupanda kiburi mbele ya Mola wake Mlezi