Skip to content
الشَّرح /

Aya 7

94 : 7

Aya 7 of الشَّرح (94 : 7). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الشَّرح Aya 8
Sura · الشَّرح
Kiswahili · Barawani
94 : 7

فَإِذَا فَرَغۡتَ فَٱنصَبۡ

Na ukipata faragha, fanya juhudi.

Explanation & meanings · 1
  1. Basi ukipata nafasi katika kazi ya kuwalingania watu, na mambo yaliyo khusiana na Jihadi, endelea na jitihada ya ibada na jishughulishe nafsi yako katika hayo.