Skip to content
الضُّحى /

Aya 7

93 : 7

Aya 7 of الضُّحى (93 : 7). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الضُّحى Aya 11
Sura · الضُّحى
Kiswahili · Barawani
93 : 7

وَوَجَدَكَ ضَآلّٗا فَهَدَىٰ

Na akakukuta umepotea akakuongoa?

Explanation & meanings · 1
  1. Na akakuona umebabaika hukukinaika na itikadi zilizo kuzunguka, naye akakuongoa kwenye Njia ya Haki?