Skip to content
الضُّحى /

Aya 6

93 : 6

Aya 6 of الضُّحى (93 : 6). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الضُّحى Aya 11
Sura · الضُّحى
Kiswahili · Barawani
93 : 6

أَلَمۡ يَجِدۡكَ يَتِيمٗا فَـَٔاوَىٰ

Kwani hakukukuta yatima akakupa makaazi?

Explanation & meanings · 1
  1. Kwani hakukukuta wewe yatima unahitaji wa kukutunza naye akakupa makaazi ya kukuhifadhi kwa mwenye kukuangalia vyema kwa mambo yako?