92 : 17
وَسَيُجَنَّبُهَا ٱلۡأَتۡقَى
Na mchamngu ataepushwa nao,
Explanation & meanings · 1
- Na atakuwa mbali na huo Moto aliye mwingi wa kujikinga na ukafiri na maasi,
Aya 17 of اللَّيل (92 : 17). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.
وَسَيُجَنَّبُهَا ٱلۡأَتۡقَى
Na mchamngu ataepushwa nao,