Skip to content
الفَجر /

Aya 10

89 : 10
الفَجر Aya 30
Sura · الفَجر
Kiswahili · Barawani
89 : 10

وَفِرۡعَوۡنَ ذِي ٱلۡأَوۡتَادِ

Na Firauni mwenye vigingi?

Explanation & meanings · 1
  1. Au kwani hukujua vipi Mola wako Mlezi alivyo wateremshia adhabu yake Firauni mwenye majeshi yaliyo upa nguvu ufalme wake kama vigingi vinavyo simamisha makhema?