Skip to content
الفَجر /

Aya 9

89 : 9
الفَجر Aya 30
Sura · الفَجر
Kiswahili · Barawani
89 : 9

وَثَمُودَ ٱلَّذِينَ جَابُواْ ٱلصَّخۡرَ بِٱلۡوَادِ

Na Thamudi walio chonga majabali huko bondeni?

Explanation & meanings · 1
  1. Kwani hukujua jinsi Mola wako Mlezi alivyo teremsha adhabu yake kwa Thamudi, kaumu ya Saleh, walio chonga majabali kujengea nyumba zao huko bondeni?