71 : 14
وَقَدۡ خَلَقَكُمۡ أَطۡوَارًا
Na hali Yeye kakuumbeni daraja baada ya daraja?
Explanation & meanings · 1
- Na hali Yeye ndiye aliye kuumbeni kwa madaraja, tangu tone ya manii, kisha pande la damu, kisha pande la nyama, kisha mafupa na nyama?