Skip to content
نُوح /

Aya 13

71 : 13

Aya 13 of نُوح (71 : 13). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

نُوح Aya 28
Sura · نُوح
Kiswahili · Barawani
71 : 13

مَّا لَكُمۡ لَا تَرۡجُونَ لِلَّهِ وَقَارٗا

Mna nini hamweki heshima ya Mwenyezi Mungu?

Explanation & meanings · 1
  1. Mna nini nyinyi hata hamumtukuzi Mwenyezi Mungu kama anavyo stahiki kutukuzwa, ili mtaraji akukirimuni kwa kukuokoeni na adhabu,