Skip to content
الذَّاريَات /

Aya 55

51 : 55

Aya 55 of الذَّاريَات (51 : 55). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الذَّاريَات Aya 60
Sura · الذَّاريَات
Kiswahili · Barawani
51 : 55

وَذَكِّرۡ فَإِنَّ ٱلذِّكۡرَىٰ تَنفَعُ ٱلۡمُؤۡمِنِينَ

Na kumbusha, kwani ukumbusho huwafaa Waumini.

Explanation & meanings · 1
  1. Wewe dumisha kukumbusha, kwani ukumbusho huwazidisha Waumini kufumbua macho na kuwa na nguvu za yakini.