51 : 54
فَتَوَلَّ عَنۡهُمۡ فَمَآ أَنتَ بِمَلُومٖ
Basi waachilie mbali, nawe hulaumiwi.
Explanation & meanings · 1
- Basi wapuuzilie mbali hawa wenye inda! Wewe hulaumiki usipo wajibu kitu.
فَتَوَلَّ عَنۡهُمۡ فَمَآ أَنتَ بِمَلُومٖ
Basi waachilie mbali, nawe hulaumiwi.