Skip to content
المَائدة /

Aya 62

5 : 62

Aya 62 of المَائدة (5 : 62). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

المَائدة Aya 120
Sura · المَائدة
Kiswahili · Barawani
5 : 62

وَتَرَىٰ كَثِيرٗا مِّنۡهُمۡ يُسَٰرِعُونَ فِي ٱلۡإِثۡمِ وَٱلۡعُدۡوَٰنِ وَأَكۡلِهِمُ ٱلسُّحۡتَۚ لَبِئۡسَ مَا كَانُواْ يَعۡمَلُونَ

Na utawaona wengi katika wao wanakimbilia kwenye dhambi, na uadui, na ulaji wao vya haramu. Ni maovu mno hayo wayatendayo!

Explanation & meanings · 1
  1. Na utawaona wengi wao hawa wanakimbilia kufanya maasi na kuwatendea uadui wengineo, na pia katika kula mali ya haramu kama rushwa (mrungura) na riba! Uwovu gani huu wautendao!