Skip to content
المَائدة /

Aya 63

5 : 63

Aya 63 of المَائدة (5 : 63). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

المَائدة Aya 120
Sura · المَائدة
Kiswahili · Barawani
5 : 63

لَوۡلَا يَنۡهَىٰهُمُ ٱلرَّبَّٰنِيُّونَ وَٱلۡأَحۡبَارُ عَن قَوۡلِهِمُ ٱلۡإِثۡمَ وَأَكۡلِهِمُ ٱلسُّحۡتَۚ لَبِئۡسَ مَا كَانُواْ يَصۡنَعُونَ

Mbona hao wanazuoni na makohani wao hawawakatazi maneno yao ya dhambi, na ulaji wao vya haramu? Ni maovu mno hayo wayafanyayo!

Explanation & meanings · 1
  1. Si ingelikuwa vyema lau kuwa wanazuoni wao na makohani wangeli wakataza kusema uwongo, na kula haramu? Uwovu mkubwa huo wanao ufanya kwa kuacha kusemezana na kukatazana maasi.