Skip to content
الدُّخان /

Aya 54

44 : 54

Aya 54 of الدُّخان (44 : 54). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الدُّخان Aya 59
Sura · الدُّخان
Kiswahili · Barawani
44 : 54

كَذَٰلِكَ وَزَوَّجۡنَٰهُم بِحُورٍ عِينٖ

Hivi ndivyo itakavyo kuwa, na tutawaoza mahurilaini.

Explanation & meanings · 1
  1. Na pamoja na malipo haya tutawaoza huko Peponi mahurulaini, ambao huwezi kuwachanganyia jicho kwa hadi ya uzuri wao na ukubwa wa macho yao.