Skip to content
الدُّخان /

Aya 53

44 : 53
الدُّخان Aya 59
Sura · الدُّخان
Kiswahili · Barawani
44 : 53

يَلۡبَسُونَ مِن سُندُسٖ وَإِسۡتَبۡرَقٖ مُّتَقَٰبِلِينَ

Watavaa hariri nyepesi na hariri nzito wakikabiliana,

Explanation & meanings · 1
  1. Wakivaa humo hariri nyepesi na nzito kuzidi kuongeza mapambo yao, nao wakielekeana katika majlisi zao, ili kutimiza starehe.