23 : 86
قُلۡ مَن رَّبُّ ٱلسَّمَٰوَٰتِ ٱلسَّبۡعِ وَرَبُّ ٱلۡعَرۡشِ ٱلۡعَظِيمِ
Sema: Ni nani Mola Mlezi wa mbingu saba na Mola Mlezi wa A'rshi Kuu?
Explanation & meanings · 1
- Waambie tena: Ni nani Mola Mlezi wa mbingu saba na Mola Mlezi wa A'rshi Kuu? (Kiti Kikuu cha Enzi)