23 : 43
مَا تَسۡبِقُ مِنۡ أُمَّةٍ أَجَلَهَا وَمَا يَسۡتَـٔۡخِرُونَ
Hapana umma uwezao kutanguliza ajali yake wala kuikawiza.
Explanation & meanings · 1
- Kila umma una zama zake maalumu, hazitangulii wala hazikawii.