Skip to content
المؤمنُون /

Aya 11

23 : 11
المؤمنُون Aya 118
Sura · المؤمنُون
Kiswahili · Barawani
23 : 11

ٱلَّذِينَ يَرِثُونَ ٱلۡفِرۡدَوۡسَ هُمۡ فِيهَا خَٰلِدُونَ

Ambao watairithi Pepo ya Firdausi, wadumu humo.

Explanation & meanings · 1
  1. Hawa ndio Mwenyezi Mungu atawafadhili kwa kuwapa Firdausi, ndio pahala pa juu kabisa huko Peponi, wastarehe humo peke yao.