Skip to content
المؤمنُون /

Aya 10

23 : 10
المؤمنُون Aya 118
Sura · المؤمنُون
Kiswahili · Barawani
23 : 10

أُوْلَٰٓئِكَ هُمُ ٱلۡوَٰرِثُونَ

Hao ndio warithi,

Explanation & meanings · 1
  1. Hawa wenye kusifiwa hivi ndio watakao rithi kheri yote na wataipata Siku ya Kiyama. Hawa ndio Mwenyezi Mungu atawafadhili kwa kuwapa Firdausi, ndio pahala pa juu kabisa huko Peponi, wastarehe humo peke yao.