Skip to content
المؤمنُون /

Aya 12

23 : 12
المؤمنُون Aya 118
Sura · المؤمنُون
Kiswahili · Barawani
23 : 12

وَلَقَدۡ خَلَقۡنَا ٱلۡإِنسَٰنَ مِن سُلَٰلَةٖ مِّن طِينٖ

Na kwa yakini tumemuumba mtu kutokana na asli ya udongo.

Explanation & meanings · 1
  1. Yawapasa watu waangalie asli ya kuumbwa kwao; kwani hiyo ni dalili za kuonyesha uwezo wetu zenye kupelekea kumuamini Mwenyezi Mungu, na kuamini kufufuliwa. Kwani Sisi tumemuumba mtu kutokana na asli ya udongo.