Skip to content
الأنبيَاء /

Aya 76

21 : 76

Aya 76 of الأنبيَاء (21 : 76). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الأنبيَاء Aya 112
Sura · الأنبيَاء
Kiswahili · Barawani
21 : 76

وَنُوحًا إِذۡ نَادَىٰ مِن قَبۡلُ فَٱسۡتَجَبۡنَا لَهُۥ فَنَجَّيۡنَٰهُ وَأَهۡلَهُۥ مِنَ ٱلۡكَرۡبِ ٱلۡعَظِيمِ

Na Nuhu alipo ita zamani, nasi tukamuitikia, na tukamwokoa yeye na watu wake kutokana na shida kubwa.

Explanation & meanings · 1
  1. Na hapa tumjaje Nu'h kabla ya Ibrahim na Luu't, pale alipo muomba Mola wake Mlezi, aisafishe nchi kwa kuondoa waovu tukamuitikia ombi lake, tukamuokowa yeye na wale walioamini katika watu wake, kutokana na shakawa (shida) ya kimbunga kikubwa.