Skip to content

Utakapo ulizwa: Je, Muislam anahukumiwa kuwa kafiri kwa sababu ya maasi yake?.

السؤال

Swali/ Utakapo ulizwa: Je, Muislam anahukumiwa kuwa kafiri kwa sababu ya maasi yake?.

الجواب

Jawabu/ Sema: Hapana Muislam hahukumiwi kuwa kafiri kwa sababu ya maasi anayo yafanya hatakama ni madhambi makubwa midhali sio madhambi ambayo yanamfanya awe kafiri ambayo yameelezwa na sheria katika Qur'an na sunnahh na maswahaba hawakuelezea au maimamu wakubwa, Muislam anabaki kuwa Muumini na anakuwa ni katika wanao muasi Allah katika waislam walio tamka Shahada, mithali hajaingia katika madhambi yanayo muingiza katika ukafiri au shirki kubwa au unafiki mkubwa.