Utakapo ulizwa: Niwakati gani Matendo ya mja yanakatika?.
السؤال
Swali/ Utakapo ulizwa: Niwakati gani Matendo ya mja yanakatika?.
الجواب
Sema: Haikatiki ibada ya mja ila ni kwa kifo, dalili ni kauli ya Allah mtukifu: { Muabudu Mola wako mpaka kikufikie kifo} Hujirat99 na amesema Mtume rehma na amani ziwe juu yake kutoka kwa Athumani bin Madh'uni wakati alipo kufa: (Ama Othman Bin Madh'uni namuapa Allah amefikiwa na Umauti). Imetolewa na Imamu Bukhari, na kwakuwa Mtume rehma na amani ziwe juu yake hakuacha kufanya ibada katika maisha yake na maana ya yakini katika aya na hadithi hazina maana ya kufikia daraja ya juu katika Imani ambayo akifikia anaacha kufanya ibada kama wanavyo fasiri baadhi ya watu wanao potosha Dini ya Allah bali yakini inamaana ya kifo.