Skip to content

Ukiulizwa: inajuzu kumuhukumu mtu duniani kuwa ni mtu wa motoni au wa Peponi?.

السؤال

Swali/ Ukiulizwa: inajuzu kumuhukumu mtu duniani kuwa ni mtu wa motoni au wa Peponi?.

الجواب

Jawabu/ Sema: Haijuzu kumuhukukumu mtu kuwa ni wa Peponi au wa Motoni ispokuwa wale ambao dalili zimewaelezea kuwa ni watu wa Peponi, lakini kila mwenye kufanya wema inatarajiwa atapata thawabu na kwayule anaefanya maovu kupata adhabu na tunasema kwamba kila alie kufa akiwa na imani mafikio yake ni Peponi na kila mwwnye kufa katika ushirikina na ukafiri basi atakuwa katika watu wa Motoni, ubaya ulioje wa mafikio hayo.