Skip to content

Utakapo Ulizwa: Je, inajuzu kuwa na imani njema bila ya matendo?

السؤال

Swali/ Utakapo Ulizwa: Je, inajuzu kuwa na imani njema bila ya matendo?

الجواب

Jawabu/ Sema: Hapana, lazima vikusanyike na Nia safi ambayo ni kufanya Ibada kwa ajili ya Allah na yenye kuafikiana na sheria ya Mtume wa Allah rehma na amani ziwe juu yake. Dalili ya hayo ni Kauli ya Mwenyezi Mungu mtukufu: {Mwenye kutaraji kukutana na Mola wake Mlezi basi na atende vitendo vyema, wala asimshirikishe yeyote katika ibada ya Mola wake Mlezi} (Kahfi 110). Mwenyezi Mungu mtukufu akaweka sharti katika aya hii kwamba ili matendo yawe mema lazima iwe kuna nia njema na yawe matendo yako ni mema na yenye kukubaliana na sheria ya Mtume rehma na amani za Allah ziwe juu yake.