96 : 17
فَلۡيَدۡعُ نَادِيَهُۥ
Basi na awaite wenzake!
Explanation & meanings · 1
- Basi yeye awaite wenziwe na watu wa baraza lake wawe ndio wasaidizi duniani au Akhera.
Aya 17 of العَلَق (96 : 17). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.
فَلۡيَدۡعُ نَادِيَهُۥ
Basi na awaite wenzake!