92 : 20
إِلَّا ٱبۡتِغَآءَ وَجۡهِ رَبِّهِ ٱلۡأَعۡلَىٰ
Ila ni kutaka radhi ya Mola wake Mlezi aliye juu kabisa.
Explanation & meanings · 1
- Bali anatoa hicho kwa kutafuta radhi ya Mola wake Mlezi Mtukufu tu.