Skip to content
اللَّيل /

Aya 21

92 : 21

Aya 21 of اللَّيل (92 : 21). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

اللَّيل Aya 21
Sura · اللَّيل
Kiswahili · Barawani
92 : 21

وَلَسَوۡفَ يَرۡضَىٰ

Naye atakuja ridhika!

Explanation & meanings · 1
  1. Na bila ya shaka atakuja pata kutoka kwa Mola wake Mlezi anacho kitaka kwa njia za ukamilifu kabisa, hata itimie radhi kwake.