Skip to content
اللَّيل /

Aya 19

92 : 19
اللَّيل Aya 21
Sura · اللَّيل
Kiswahili · Barawani
92 : 19

وَمَا لِأَحَدٍ عِندَهُۥ مِن نِّعۡمَةٖ تُجۡزَىٰٓ

Na wala si kwa kuwa yupo yeyote aliye mfanyia hisani ndio anamlipa.

Explanation & meanings · 1
  1. Na mtoaji huyu si kama anaye mtu yeyote ambaye ndio anamlipa kwa neema aliyo mfanyia zamani,