Skip to content
البَلَد /

Aya 10

90 : 10
البَلَد Aya 20
Sura · البَلَد
Kiswahili · Barawani
90 : 10

وَهَدَيۡنَٰهُ ٱلنَّجۡدَيۡنِ

Na tukambainishia zote njia mbili?

Explanation & meanings · 1
  1. Na tukamwonyesha njia ya kheri na ya shari, na tukamtengenezea aweze kuchagua mojawapo?