Skip to content
البَلَد /

Aya 11

90 : 11

Aya 11 of البَلَد (90 : 11). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

البَلَد Aya 20
Sura · البَلَد
Kiswahili · Barawani
90 : 11

فَلَا ٱقۡتَحَمَ ٱلۡعَقَبَةَ

Lakini hakujitoma kwenye njia ya vikwazo vya milimani.

Explanation & meanings · 1
  1. Basi huyo hakunafiika kwa tuliyo mtengenezea, wala hakuivuka njia ya milimani inayo mzuia asifikie uwokovu, nayo ni choyo wa nafsi yake.