80 : 6 فَأَنتَ لَهُۥ تَصَدَّىٰ Wewe ndio unamshughulikia? 6Hide explanation (1)Explanation & meanings · 16Wewe ndio unamkabili na unamshughulikia kumfikishia wito wako.