80 : 20 ثُمَّ ٱلسَّبِيلَ يَسَّرَهُۥ Kisha akamsahilishia njia. 20Hide explanation (1)Explanation & meanings · 120Kisha akamfanyia nyepesi njia ya kufikia Imani, na akamfunza njia hiyo.