Skip to content
عَبَسَ /

Aya 19

80 : 19
عَبَسَ Aya 42
Sura · عَبَسَ
Kiswahili · Barawani
80 : 19

مِن نُّطۡفَةٍ خَلَقَهُۥ فَقَدَّرَهُۥ

Kwa tone la manii, akamuumba na akamkadiria.

Explanation & meanings · 1
  1. Kutokana na maji ya kudharauliwa Yeye Mwenyezi Mungu alimwanzisha kumuumba akamjaalia apitie daraja mbali mbali za kukua.